Home
Karibu Wizara ya Habari, Utamaduni na Michezo
Serikali yawaasa Washiri wa kinyang’anyiro cha Miss Tanzania 2010

 

Mkurugenzi wa Maendeleo ya Utamaduni Prof. Hermas Mwansoko  akiwaasa kuzingatia maadili mema ya kitanzania Warembo (hawapo pichani)  wanaowania nafasi ya Miss Tanzania 2010 ambao wako kambini katika hoteli ya Giraffe. Wizara ya Habari, Utamaduni na Michezo imetembelea kambi hiyo kwa ajili ya kuwaasa warembo kuzingatia maadili ya kitanzania na kuwatia moyo kuwa Serikali inaitambua na kuithamini sanaa hiyo. 

Read more...
 
Banda la Mpango wa Kilimo Kwanza laibuka mshindi

BANDA la Mpango wa Kilimo Kwanza limeibuka mshindi na kupata kikombe katika maonesho  ya 34 ya Biashara ya Kimataifa katika Viwanja vya Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam.

Read more...
 
Ujumbe kutoka TAFISA

 Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni na Michezo Bw. Sethi Kamuhanda( kushoto) akizungumza na ujumbe kutoka Taasisi inayoshughulikia  Michezo kwa Wote Ulimwenguni ( TAFISA) ofisini kwake jana. Katikati ni Katibu Mkuu wa taasisi  hiyo Bw. Wolfgang Baumann. Kulia ni Mhazini wa TAFISA Bw.Brian Dixon

Last Updated on Thursday, 26 August 2010 09:43
 
Wawekezaji Watanzania washauriwa kujifunza mbinu za Wabrazili
Wawekezaji Watanzania wametakiwa kuunganisha nguvu na wa Brazil ili kujifunza mbinu mbalimbali za kibiashara na kujiimarisha zaidi kiuchumi.
Read more...
 
 

Who's Online

We have 2 guests online

Polls

Utamaduni wetu unathaminiwa kwa kiasi gani?
 

Adverts

Featured Links:
Job Advertsment
The Permanant Secretary is advertsing to the general public to fill the vacancies in differnt positions.
  • Read More
  • General Procurement Notice 2010/11. The Government of the United Republic of Tanzania has set aside funds for the operation of the Ministry of Information, Culture and Sports(MICS) during the Financial year 2010/2011.The Minisrty is now issuing General Procurement Notice in accordance with the requirement of Public Procurement Act No 21 of 2004 and its Regulations,2005 for the purpose of informing prospective bidders,suppliers,non consultants,contractors,and consultants and General Public on Tender opportunities during the financial year 2010/11.More Information can be obtained from the office of Secretary of the Tender Board-MICS HQ
  • Download